Monday, May 28, 2012

FAIDA ZA KUUSIMAMISHA UISLAM KATIKA JAMII.

Assalaam aleykum apa ndugu zangu ktk imani hapa ni kwa ufupi tuu
jinsi kulivyo na faida au umuhimu wa kuusimamisha uislam ktk jamii
-Waumini kuweza kumuabudu mwenyenzi mungu ifuatavyo
-Waumini kuweza kuamrisha mema na kukataza maovu
-Jamii itaondokana na majanga mbalimbali(Quran 8-125)"Naiogopeni
adhabu ya m/mungu hapa duniani haitawasibu wale ambao wanazulumu mali
na nafsi zao bali itawaadhibu wote
Hivyo kama kutakuwa ma dola ya kiislam ni rahisi kuondokana au
kuepukana na majanga kama hayo hivyo
Ndugu zangu ktk imani upo umuhimu wa kuusimamisha uislam katika jamii
na pia kupita hapahapa ntawaletea changamoto katika kuusimamisha
uislam katika jamii
-Kwa maoni inshaallah niandikie katika email yangu ambayo ni :-
"mohdmk19@gmail.com"au kupitia facebook"Mohd Live"

Wednesday, May 23, 2012

Mbinu za makafiri katika kuudhibiti uislam pamoja na ukandamiza bila yao kufahamu

Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabaraqatul
Enyi ndugu zangu katika imani hapa nimewaleteeni kwa uchache tu jinsi
ambayo makafiri wanavyotumia mbinu kuukandamiza uislam na kwa uchache
mbinu zenyewe ni hizi:-
1.Kuvuruga maadili mema kwa picha,sinema,magazeti na televisheni
2.Watu waelewe kuwa tatizo la uasherati ni kawaida
3.Kufuta swala na taratibu zote katika shule
4.Kuanzisha ghasia katika jamii
5.Kutumia propaganda kama vile Al-shabaaa,siasa kali
6.Kuchochea chokochoko za dini
7.Mbinu za mayahudi,kuunda taasisi za siri
8.Kuhiza watoto walelewe katika vituo ili waweze kuacha maadili ya wazazi wao
9.Kuondoa serikali zenye nguvu na wisizozitaka kama vile
Iraq,Libya,Congo Lumumba
10.Kupiga vita taasisi za familia
11.Kuharibu utamaduni na mila za jamii

Hivyo ndugu wapenzi wa blog hii,ndugu zangu katika imani hizo ni kwa
uchache tu jinsi makafiri wanavyoukandamiza uislam

Sunday, May 20, 2012

Adabu za kuvaa

Muislam analiona vazi kuwa limeamrishwa na Allah ktk kauli yake"Enyi
wanadamu chukueni pambo lenu mbele ya kila swala na kuleni na kunyweni
wala msivuke mpaka hakika yeye hawapendi wenye kuvuka
mipaka(al-A'raaf:31)pia ameonyesha neema "Enyi wanadamu hakika
tumeteremsha juu yenu vazi litakalo sitiri tupu zenu na vazi la
kujipamba na vazi la uchaji hilo ndilo bora"(al-A'raaf:26)
Ni juu ya kila muislamu kujilazimisha katika kuvaa kwake na adabu zifuatazo
1-Usivae hariri kwani amesimulia mtume(s.a.w),Msivae hariri kwani
hakika atakaye ivaa hariri duniani hataivaa huko akhera(Muslim)

2-Asirefushe nguo yake au suruali yake au kanzu iliyounganishwa na
kofia yake au shuka lake ya juu mpaka ikavuka fundo zake mbili za
miguu kutokana na kauli yake mtume(s.a.w)"Kilicho chini ya fundo mbili
ktk shuka hicho kitakuwa motoni"Na kauli yake "Kuteremsha shuka na
kanzu na kilemba,mwenye kuburuza hivyo hatamtazama Allah siku ya
kiyama(Abu Daud na Annasi)Na kauli yake:"Hatamtazama Allah mwenye
kuikokota nguo yake kwa kibri(Bukhari na Muslim)

3-Alipe kipaumbele vazi jeupe kuliko nyingne na aone kuvaa rangi aina
zote kunafaa kutokana na kauli yake mtume(s.a.w)
Vaeni nguo nyeupe kwani hzo ni safi na ni nzuri na wakafinini katika
hizo wafu wenu(Attirimidhy)

4-Arefushe muislam mwanamke vazi lake mpaka lifunike nyayo zake na
ateremshe mtandio wake juu ya kichwa chake mpaka afunike shingo na
kifua chake kutokana na kauli ya Allah"Ewe mtume waambie wake zako na
mabinti zako na wake zako na Waislam wateremshe shungi
zao(al-Ahzaab:59)

Usikate tamaa

Siku zote anayemruzuku mja ni Allah hivyo basi ndugu yangu uckate
tamaa hadi kufikia hatua ya kumkufuru yeye kwa kufanya ushrikina ili
upate mali we kuwa na subira hadi hapo atakapo kuruzuku Inshaallah

Makafiri wanapoelekea

Kwa kiwango kikubwa sasa makafiri wamekuwa wakiuchafua uislam na nitawaandalia makala ya kuonyesha kwa jinsi makafiri wanavyafanya INSHAALLAH

Adabu ya kimaumbile kutoka kwa mtume

Amesema mtume(s.a.w) mambo matano kwa kauli yake "Mambo matano ni katika mambo ya maumbile:
Kunyoa kinena na kukhitani,
kupunguza masharubu,
kunyoa kwapa,
kukata kucha(Attirmidhy na Annasai)

Friday, May 18, 2012

Yasiyoweza kukuharibia funga


Mambo ambayo hayawezi kukatisha funga
       ..Kutapikaa
       ..Kuchomwa sindano
       ..Kumeza mate
       ..Kulia
       ..Kupigana
       ..Kunawa kichwa
       ..Kuoga
       ..Kutokwa na manii
       ..Kuamka na Janaba

Tambua uislam wako

Ndgu zangu katika imani inafaa kuutambua uiaslam wetu na kuielewa thamani ya uislam wetu kwani inafikia hatua muislam haujui uislam wake kiasi cha kushirikiana na makafiri katika sherehe zao hzo za kikafiri na imeharamishwa kufanya hivyo

Thursday, May 3, 2012

LOVE

Love without trust is like a phone without services ...what you can do is only playing games
I need your COMEMT