Assalaam aleykum apa ndugu zangu ktk imani hapa ni kwa ufupi tuu
jinsi kulivyo na faida au umuhimu wa kuusimamisha uislam ktk jamii
-Waumini kuweza kumuabudu mwenyenzi mungu ifuatavyo
-Waumini kuweza kuamrisha mema na kukataza maovu
-Jamii itaondokana na majanga mbalimbali(Quran 8-125)"Naiogopeni
adhabu ya m/mungu hapa duniani haitawasibu wale ambao wanazulumu mali
na nafsi zao bali itawaadhibu wote
Hivyo kama kutakuwa ma dola ya kiislam ni rahisi kuondokana au
kuepukana na majanga kama hayo hivyo
Ndugu zangu ktk imani upo umuhimu wa kuusimamisha uislam katika jamii
na pia kupita hapahapa ntawaletea changamoto katika kuusimamisha
uislam katika jamii
-Kwa maoni inshaallah niandikie katika email yangu ambayo ni :-
"mohdmk19@gmail.com"au kupitia facebook"Mohd Live"
2 comments:
Msisahau kutuma coment zenu
Kweli upo umuhimu
Post a Comment