Friday, November 16, 2012

BMW cars......picha za magari ya BMW

maoni yako kuhusu magari hayo umeyapenda..epuka picha za ajab ajabu
chukua hzo uweke kwenye wallpaper yako

Tuesday, November 13, 2012

ISLAMIC WALLPAPERS/PATA BURE PICHA ZA KIISLAM

Kama umezipenda basi endelea kufuatilia hapa au toa maoni yako

PICHA ZA PIKIPIKI/xr pictures

umeipenda hyo,bs endelea kufuatilia

TIZAMA PICHA MBALIMBALI HAPA

write somethng

Faida za Ndizi.tunda rahisi sana kupatikana,songa nayo

Habari zenu,wazima wapenzi wafuatiliaji wa blog hii leo nimewaandalia
kwa uchache tu faida za tunda ambalo linaloitwa NDIZI.Tunda hilo ni
tunda rahisi sana kupatikana ni tunda linalolimwa sana mkoani
kilimanjaro,kagera,mbeya na maeneo mengine ya Tanzania.Tunda hili
linafaida nyingi japo limekuwa likipuuzwa na baadhi ya watu na
miongoni mwa faida za ndizi ni kama vile,kutibu magonjwa ya
moyo,saratani ya figo,kukosa choo na magonjwa ya moyo ,nawashauri sana
kutumia tunda hilo kwani wataalam wa masuala ya matunda wameshauri
sana watu kutumia tunda hilo.Jitahidi sana kuwa mnatumia tunda hilo
basi jitahidini hata mtumie mara tatu kwa wiki.Asanteni kwa kufuatilia
na mungu akijaalia katika makala ijayo ntawaletea faida za tangawizi

Sunday, November 11, 2012

Niwaomba radhi kwa yaliyotokea

---------Assallam alaykum,ndugu zangu blog imekuwa kimya kdogo kutokana na
sababu fulani fulani huku viewers wakiongezeka kwa wingi ila
inshaallah tutaendelea kuwapa makala ila msihofu kwa hilo ndugu zangu inshaallah