Tuesday, November 13, 2012

Faida za Ndizi.tunda rahisi sana kupatikana,songa nayo

Habari zenu,wazima wapenzi wafuatiliaji wa blog hii leo nimewaandalia
kwa uchache tu faida za tunda ambalo linaloitwa NDIZI.Tunda hilo ni
tunda rahisi sana kupatikana ni tunda linalolimwa sana mkoani
kilimanjaro,kagera,mbeya na maeneo mengine ya Tanzania.Tunda hili
linafaida nyingi japo limekuwa likipuuzwa na baadhi ya watu na
miongoni mwa faida za ndizi ni kama vile,kutibu magonjwa ya
moyo,saratani ya figo,kukosa choo na magonjwa ya moyo ,nawashauri sana
kutumia tunda hilo kwani wataalam wa masuala ya matunda wameshauri
sana watu kutumia tunda hilo.Jitahidi sana kuwa mnatumia tunda hilo
basi jitahidini hata mtumie mara tatu kwa wiki.Asanteni kwa kufuatilia
na mungu akijaalia katika makala ijayo ntawaletea faida za tangawizi

No comments: