Tuesday, December 25, 2012

Vyakula vya kuongeza NGUVU ZA KIUME kwa uwezo wa ALLAH inshaallah,,pata TIBA HIYO IKIWA NI SEHEMU YA KWANZA(part one)

Assalaam alaykum,ama baada ya salamu ningependa kumshukuru Allah kwa
kunijaalia afya na kunipa uwezo wa kuweza kukutana nanyikatika makala
hii.Leo ninaongelea tatizo ambalo linawakabili wanaume weng siku hizi
,suala la kupungukiwa na nguvu za kiume ikiwa ni tatizo linaloweza
kusababishwa na upigaji wa punyeto ama utumiaji wa vyakula vyenye
kemikali nyingi,kutokana na hayo imesabisha ongezeko la wanaume wenye
matatizo hayo bila kupata ufumbuzi na kuishia kupata tiba za kienyeji
ambazo husababisha madhara na kuishia kujuta ,kwa maana hyo
ningewashauri ku2mia vyakula vifuatavyo ili kuweza kuikabili hali hyo
ya upungufu wa nguvu za kiume,...VYAKULA VYENYE KUONGEZA NGUVU ZA
KIUME:-


.1.PILIPILI-Pilipili
unaweza kula hvyo hvyo au kuchanganya kwenye chakula inasaidia sana
.
2.TIKITIKI MAJI-Tikitiki maji unaweza
kulila kama tunda au kukamua juis yake ni zuri xana

.3.PARACHICHI-Parachichi ni tunda rahisi sana kupatikana japo kuna
misimu ambayo huuzwa ghali lakini linasaidia xana katika kuongeza
nguvu za kiume
.
4.CHOKOLATE-Chocolate wengi wa wanaume huidharau na kuona kama
wanawake na watoto ndio pekee wanaostahiki kula bila ya kufahamu kuwa
ina faida kwao,hivyo inapendeza kupata japo kwa wiki mara tatu

.5.MAJI YA KUNYWA-inapendeza kunywa maji mengi kwa siku
na mtu ajitahidi anywe hata zaidi ya lita tanao kama walivyoshauri
wataalam wa mambo hayo. . . .itaendelea inshaallah kwa mawali coment
hapo na utasaidika . .. . .
NB.Epuka
kufanya zinaa na usithubutu kwani ALLAH aliyetukuka amekataza katika
Quran kwa kusema -.na wala msiikaribie zinaa.-

No comments: