Friday, May 17, 2013

PICHA ZA UCHI ZA WATANZANIA ZAZIDI KUSAMBAA MTANDAONI.. BONYEZA HAPA KUANGALIA

PICHA ZA UCHI ZA WATAMZANI
HI NI LAANA KWA WATANZANIA
MITANDAO YAGEUZWA UWANJA WA NGONGO

Kutokana na kukua kwa teknolojia siku za karibuni maadili yameonekana
kushuka kwa kiasi kikubwa kwan mitandao ming ya kijamii imekuwa
ikisambaza picha za ngono kwenye mitandao huku wakidai kuwa
wanafikisha ujumbe katika jamii, mitandao hyo imeonekana kuwa na
wapenz na wafuatiliaji weng sana kwa kuvutiwa na uchafu huo ambao
unaendelea kukua kila siku,

Sidhani kama unaielimisha au kuikosoa jamii kwa nafasi uliyoipata ya
kumiliki Blog au kumiliki website na kisha unatumia picha zenye
maadili mabovu kwa kudai kuwa unafikisha na kisha unajiita
Mwanaharakati wa kuondoa maovu, inakufaa ubadilike na kuacha tabia
hiyo mapema

Muogope Mola wako aliyekuumba

5 comments:

Anonymous said...

Ni kwel

Unknown said...

Chamsingi ni kufungiwa kwa blog na Web site zote zenye vitu ambavyo vina vunja maadili ya sisi wa Tanzania

Unknown said...

Pamoja xana axanten kwa mchango wenu

Mbishi kweli said...

Mbona haujaweka hzo picha?

BockeGZO said...

Hahaha mudiga umetsha