ASSALAAMU 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
DARASA LA MAANDALIZI YA MWEZI WA RAMADHANI.
Ndg zangu ktk imaan ktk darasa letu la sehemu ya kwanza tuliangalia baadhi ya mambo kama nguzo za funga,masharti yake,sunnah zake nk:
Ktl sehemu hii ya pili tutaangalia maaswi ya viungo vyote vya mwili ambavyo vinampelekea mja ktk kuiharibu funga yake.
MAASWI YA VIUNGO.
Maswi ya viungo ni maaswi yote ya tumbo. mfano:- kula riba,kunywa kila chenye kulewesha,kula mali ya mayatima,na kila kile ambacho amekiharamisha juu m/mungu juu yake miongoni mwa vyenye kuliwa na kunywewa,na hakika amemlaani m/mungu na mtume wake mwenye kula riba na kila mwenye kusababisha juu ya kula kwake,
na amemlaani m/mungu mwenye kunywa pombe na kila mwenye kusababisha kunywa kwake mpaka mpikaji,muuzaji,mbebaji nk.
Ktk post zijazo in shaa allaah tutaangalia kiungo kimoja kimoja pamoja na maaswi yake ili tuwe navyo makini visije vikawa ni sababu ya kuharibu funga zetu. wallaahu a'alam.
No comments:
Post a Comment