Thursday, February 7, 2013

Atakayezua Kitu Kisichokuwemo Katika Jambo Hili Letu Kitakataliwa U KITAKATALIWA .

Atakayezua Kitu Kisichokuwemo Katika Jambo Hili Letu Kitakataliwa

الحديث الخامس

" من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد"

 

عن أُمِّ المُؤمِنينَ أُمِّ عَبْدِ الله عائِشَةَ رَضي اللهُ عنها قالَتْ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: (( مَنْ أَحْدَثَ في أَمْرِنا هذا ما لَيْسَ منهُ فَهُوَ رَد))

 رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ  وَمُسْلِمٌ   وَفِي رِوَايَةٍ لِمُسْلِمٍ

  ((مَن عَمِلَ عَمَلاً لَيْسَ عَلَيْهِ أَمْرُنَا فَهُوَ رَدٌّ )).

 

HADITHI YA 5

ATAKAYEZUA KITU KISICHOKUWEMO KATIKA JAMBO HILI LETU KITAKATALIWA

Kutoka kwa Mama wa Waislamu  Ummu Abdallah 'Aisha رضى الله عنها   ambaye alisema:  Mtume wa Allaah سبحانه وتعالى  kasema:

Yule anayezua kitu kisichokuwemo (kisichokuwa) katika jambo (DINI) hili letu kitakataliwa .

Imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim. Na katika usimulizi mwengine wa Muslim inasema hivi:

Yule anayetenda kitendo ambacho hakikubaliani na jambo letu kitakataliwa.

 


facebook
Abdull Othman (friends with Zanzibar Pamoja) commented on Dada Wa Iman's photo of you.
Abdull wrote: "ALAH-U-AKBAR!!"
Reply to this email to comment on this photo.
See Comment
This message was sent to mohdmk19@gmail.com. If you don't want to receive these emails from Facebook in the future, please unsubscribe.
Facebook, Inc., Attention: Department 415, PO Box 10005, Palo Alto, CA 94303

No comments: