Thursday, February 7, 2013

HADITHI , NIMEAMRISHWA NIWAKATE WATU

Hadiyth Arubaini Za An-Nawawy Na Maana Yake Kwa Kiswahili

Hadithi Ya 08: Nimeamrishwa Nipigane Na Watu

الحديث الثامن

"أمرت أن أقاتل الناس"

 عن ابنِ عُمَرَ رضي الله عنهما أنَّ رسُوَل الله صلى الله عليه وسلم قال: ((أُمِرْتُ أَنْ أُقاتِلَ النَّاسَ حتَّى يَشْهَدُوا أنْ لا إلَهَ إلاَّ اللهُ وأنَّ محمداً رسوُل اللهِ، ويُقِيمُوا الصَّلاَةَ، ويُؤتُوا الزَّكاةَ، فإذا فَعَلوا ذَلِكَ عَصَموا منِّي دِماءَهُمْ وأمْوَالَهُمْ إلا بِحَقِّ الإِسْلامِ، وحِسابُهُم على اللهِ تعالى))

 

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ   وَمُسْلِمٌ   

HADITHI YA 8

NIMEAMRISHWA NIPIGANE NA WATU

Kutoka kwa Ibn 'Umar رضي الله عنهما  ambaye alisema kuwa Mtume صلى الله عليه وسلم kasema :

Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka washahadie kuwa hakuna      Mungu ispokuwa Allaah سبحانه وتعالى na Muhammad ni Mjumbe wa Allaah سبحانه وتعالى na mpaka watakaposwali, na wakatoa zaka, na        wakifanya hivyo, watakuwa wamepata himaya kwangu ya damu yao, na mali yao isipokuwa  kwa haki ya Uislamu.  Na hesabu yao itakuwa kwa Allaah سبحانه وتعالى .

Imesimuliwa na  Al-Bukhari na Muslim

 

No comments: