|
Anasema Allaah سبحانه وتعالى:
((مَّثَلُ الَّذِينَ يُنفِقُونَ أَمْوَالَهُمْ فِي سَبِيلِ اللّهِ كَمَثَلِ حَبَّةٍ أَنبَتَتْ سَبْعَ سَنَابِلَ فِي كُلِّ سُنبُلَةٍ مِّئَةُ حَبَّةٍ وَاللّهُ يُضَاعِفُ لِمَن يَشَاءُ وَاللّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ))
((Mfano wa wanaotumia mali zao katika njia ya Allaah ni kama mfano wa punje moja iliyochipuza mashuke saba. Katika kila shuke zimo punje mia. Na Allaah Humzidishia Amtakaye, na Allaah ni Mwenye wasaa na Mwenye kujua)) [Al-Baqarah: 261].
Hivyo tunaona kwamba kila unapotoa mali yako Allaah سبحانه وتعالى Hukuzidishia hiyo mali. Mfano huo Alioutoa Allaah سبحانه وتعالى katika Aayah hiyo inatupa hesabu ifuatayo:
|
No comments:
Post a Comment